Mapambano makali yaliodumu masaa kadhaa yafanyika katika mji wa Buula Barde na Kituo cha Wanajeshi wa Djibuti yateketea kwa Moto.

Saturday August 09, 2014 - 23:22:31 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1993
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapambano makali yaliodumu masaa kadhaa yafanyika katika mji wa Buula Barde na Kituo cha Wanajeshi wa Djibuti yateketea kwa Moto.

    Habari kutoka mkoa wa Hiraan zinaeleza kuwa kumezuka makabiliano mengine mapya kwenye Mji wa Buula Barde ambapo miezi zilizopita yalikuwa ni uwanja wa Mapambano.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Hiraan zinaeleza kuwa kumezuka makabiliano mengine mapya kwenye Mji wa Buula Barde ambapo miezi zilizopita yalikuwa ni uwanja wa Mapambano.Mapema jana usiku Mujahidina wa kikosi cha Wilayatul Islamiah ya Hiraan walifanya mashambulio ya pande kadhaa katika mji huo ambao kuna mamia ya Wanajeshi wa Kigeni waliovamia Ardhi ya Somalia.
Milio ya Silaha nzito na risasi za Rashasha zilisikika kwenye Vitongoji vilioizunguka Mji wa Buula Barde,vyanzo vya habari vinaeleza kuwa mmoja wa Vituo vya Wanajeshi wa Djibuti iliteketea kwa moto baada ya kuzingirwa na Makombora zinazorushwa kutoka mabegani ambao Mujahidina wa Al-Shabab walikuwa wakitumia.Mpaka sasa hakuna maelezo zaidi kuhusiana mapambano ya jana usiku yaliofanyika mji wa Buula Barde.
Mahad Yare


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items