Ndege za Marekani yafanya mashambulio kwa mara ya kwanza dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam.

Saturday August 09, 2014 - 23:25:20 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2395
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Ndege za Marekani yafanya mashambulio kwa mara ya kwanza dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam.

    Wizara ya ulinzi wa Marekani imetangaza kufanya mashambulio ya kwanza dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam nchini Iraq ili kusimamisha mafanikio makubwa wanaoendelea kuupata kwenye mapambano yao.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wizara ya ulinzi wa Marekani imetangaza kufanya mashambulio ya kwanza dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam nchini Iraq ili kusimamisha mafanikio makubwa wanaoendelea kuupata kwenye mapambano yao.

Msemaji aliyezungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya Wizara ya Ulinzi amesema wamefanya mashambulio mawili dhidi ya Kikosi cha Makombora cha Mujahidina wa Dola ya Kislaam nje ya mji wa Arbiil.

Mapaka sasa hakuna uthibitisho wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi wa Marekani kuhusiana na Mashambulio hayo na Dola ya Kislaam wanaendelea kujipanua zaidi kwenye viwana vya Mapambano nchini Iraq.
Duru za kuaminika zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wako karibu KLM 35 kuelekea mji wa Arbiil ambao ni makao ya Wanamgambo wa Utawala wa Ki'alamani wa Kikurdistan Kaskazini mwa Iraq.
Barack Obama Kiongozi wa Marekani siku ya Al Khamisi alitangaza kufanya mashambulio ya angani dhidi ya Dola ya Kislaam ili kuwaokoa Makundi yanayoabudu Moto wanaojulikana Ezidyah ambao maeneo yao mengi yamechukuliwa na Mujahidina wa IS nchini Iraq.

Related Items