Abuu Mus'ab "Tumewaua Wanajeshi Tisa wa Djibuti kwenye mapigano ya mji wa Buulabarde na upande wa Mujahidina walioruzukiwa Shahada ni 5".

Sunday August 10, 2014 - 09:10:26 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1897
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Abuu Mus'ab "Tumewaua Wanajeshi Tisa wa Djibuti kwenye mapigano ya mji wa Buulabarde na upande wa Mujahidina walioruzukiwa Shahada ni 5".

    Kuna maelezo zaidi yanayotolewa kuhusiana na mapiagano makali yaliofanyika mji wa Buula Barde Mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kuna maelezo zaidi yanayotolewa kuhusiana na mapiagano makali yaliofanyika mji wa Buula Barde Mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia.


Uongozi wa Kijeshi wa Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetolea ufafanuzi mapigano hayo yaliofanyika usiku wa kuamkia tarehe 8 ambapo yalikuwa makali zaidi na kudumu masaa kadhaa kati ya Mujahidina na Wanajeshi wavamizi wa Djibuti.
Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab Msemaji wa Kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen amesema alipokuwa akizungumza na Radio Al Andalus kuwa takriban Wanajeshi 10 wa Djibuti waliouawa kwenye mapigano hayo iliyofanyika mji wa Buula Barde.
"Vikosi vya Mujahidina wamewaua Wanajeshi 9 wa Djibuti na Maaskari 4 wa Murtadina wa Serikali ya FG kwenye mapigano yaliofanyika mji wa Buula Barde iliyo mkoani Hiraan katikati mwa Somalia",alisema Sheikh Abuu Mus'ab.
Msemaji huyo wa Kijeshi wa Al-Shabab amethibitisha kuharibu magari 4 ya Kivita ya Maadui kwenye makabiliano hayo ya mji wa Buula Barde.
Abuu Mus'ab alipogusia upande wao amesema "upande wa Mujahidina walioruzukiwa Shahada ni Maaskari 5 katika mapambano ya mji wa Buula Barde Allah awatakabalie Shahada zao kwa hakika wameondoka kwenye njia ya haqi wakilinda Dini yao na Ardhi yao",alisema Sheikh Abuu Mus'ab.
Mahad Yare


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items