Wanajeshi wa AMISOM wauawa kwenye mkoa wa Lower Shabelle.

Sunday August 10, 2014 - 09:13:34 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2283
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 2
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa AMISOM wauawa kwenye mkoa wa Lower Shabelle.

    Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa Mlipuko mkubwa umelengwa dhidi ya Wanajeshi wa kigeni wa AMISOM walioivamia Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa Mlipuko mkubwa umelengwa dhidi ya Wanajeshi wa kigeni wa AMISOM walioivamia Ardhi ya Somalia.

Walioshuhudia wanasema milipuko miwili ulilengwa dhidi ya msafara wa Wanajeshi wa AMISOM waliokuwa wakisafiria ndani na nje ya Mji wa Marka.

Vyanzo vya kuaminika vinaeleza kuwa Magari mawili ya Wanajeshi wa AMISOM yaliteketezwa kwa moto na Wanajeshi wote waliokuwemo kwenye magari hizo waliangamia.
Liban Jehow Abdi

SomaliMemo,Mugadishu
Related Items