VIDEO:Barack Obama "ni vigumu kuisambaratisha Dola ya Kislaam".

Sunday August 10, 2014 - 09:16:35 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3242
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    VIDEO:Barack Obama "ni vigumu kuisambaratisha Dola ya Kislaam".

    Kiongozi wa Marekani ametangaza tena vita ya Angani dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam nchini Iraq.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kiongozi wa Marekani ametangaza tena vita ya Angani dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam nchini Iraq.

Kiongozi wa Marekani Barack Obama jana nyakati za jioni alizungumza na vyombo vya habari mjini Washington na kuelezea shambulio la Angani iliyofanyika nchini Iraq.Ametaja Ndege zao za Kivita zililenga Vikosi mmojawapo ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam ambao wanapigana nje kidogo ya mji wa Arbiil iliyopo upande wa kaskazini mwa Iraq.
Barack Obama ameonyesha khofu yake kuhusiana na udhaifu walionayo Wanamgambo wa Ki'almaani wa Bashmar pamoja na yale ya Kishia ya Nuri Al Maliki na kuwataka pande hizo kuunganisha nguvu zao dhidi ya Dola ya Kislaam.Barack Obama ametoa vitisho dhidi ya Dola ya Kislaam na kusema kuwa atawalenga kuwashambulia kutoka Angani na kuzikosoa Tawala za Kislaam zilizosimikwa na Mujahidina kwenye Ardhi ya Iraq na Syria."Mashambulio ya upande wa Angani nchini Iraq tutaendelea kufanya na kusitisha kwake inategemea na haja zilizopo nchi ya Iraq na kamwe hatutoweza kukubali kuangushwa Utawala wa Kikurdi wa Kurdistaan",alisema Obama.Serikali hiyo ya Kikafiri imetishia kuingamiza na kuipiga vita Utawala wowote wa Khilafah Islamiah utakaosimikwa kwenye Ardhi ya Iraq na Shaam,Obama amesema haiwezekani Mashambulio ya Angani pekee huenda Dola ya Kislaam wataweza kusambaratishwa lakini ameongeza huenda ikasaidia kusimamisha kile alichokitaja kuwa Mauaji dhidi ya watu wanaoabudu Majini wanaojulikana Ezidiyah wa Iraq ambapo miji yao umechukuliwa na Mujahidina wa Dola ya Kislaam.


TIZAMA VIDEO KWA MFUMO WA YOUTUBE HAPA CHINI


Related Items