Al-Shabab washambulia Vituo Kadhaa vya Kijeshi mjini Mugadishu.

Thursday August 14, 2014 - 21:23:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2948
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Al-Shabab washambulia Vituo Kadhaa vya Kijeshi mjini Mugadishu.

    Mapigano makali yaliohusisha kati ya Wanamgambo wa Serikali Shirikisho la Somalia "FG" na Vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen usiku wa kuamkia leo katika mitaa ya Sinka Deer nje kidogo na mji wa Mugadishu baada ya Mujah

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mapigano makali yaliohusisha kati ya Wanamgambo wa Serikali Shirikisho la Somalia "FG" na Vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen usiku wa kuamkia leo katika mitaa ya Sinka Deer nje kidogo na mji wa Mugadishu baada ya Mujahidina kufanya mashambulio kwenye Vituo vya Wanajeshi wa Kigeni na yale ya Serikali.Wakaazi pamoja na vyanzo vya Kijeshi vilithibitisha kutokea makabiliano hayo iliyofanyika mapema jana usiku na kusababisha hasara ya vifo vya Wanajeshi pamoja na Majeruhi kadhaa.Maofisa wa Mujahidina wa Al-Shabab kwa upande wao walituthibitishia kuwa vikosi vyao walifanya mashambulio makubwa dhidi ya vituo vya AMISOM pamoja na wanamgambo wa Serikali ya FG yaliopo nje ya mji wa Mugadishu.Tangu wanajeshi hao wa Kiafrika walipoanza kujipanua Mikoa yalio nje ya Mkoa wa Banadir wamekutana na misururu ya mashambulio ya Mapmabano ya ana kwa ana,Milipuko,na mashambulio ya kuvizia ambayo imesababisha Nguvu ya Maadui hao kupungua.Mujahidina wa Mkoa wa Lower Shabelle ambayo ni miongoni mwa vikosi madhubuti inayopambana na Maadui kwenye Mikoa yalio nje ya Mugadishu wameandelea kuzidisha mapambano yao dhidi ya Wavamzi wa Misalaba,Vikosi hivyo vya Mujahidina wa Al-Shabab usiku na mchana wanawawinda Maadui waliopo Mkoa huo wa Lower Shabelle.

Related Items