Mashambulio yaliosababisha hasara yafanyika Mkoa wa kaskazini mwa Kenya.

Thursday August 14, 2014 - 21:26:11 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2447
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mashambulio yaliosababisha hasara yafanyika Mkoa wa kaskazini mwa Kenya.

    Habari kutoka Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya zinaeleza kuwa takriban watu 3 wameuawa kutokana na mashambulio mbalimbali yaliotokea jana usiku kwenye miji ya Mandera na Garisa ambayo iko chini ya Mkoa huo wa Kaskazini Mashariki unaokaliwa kwa M

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya zinaeleza kuwa takriban watu 3 wameuawa kutokana na mashambulio mbalimbali yaliotokea jana usiku kwenye miji ya Mandera na Garisa ambayo iko chini ya Mkoa huo wa Kaskazini Mashariki unaokaliwa kwa Mabavu na Utawala wa Kenya .Shambulio la kwanza ilifanyika mji wa Mandera baada ya watu waliojihami na silaha kushambulia majengo iliyokuwa makao ya Shirka mmoja la Ujenzi wa Barabara,na inasemekana shambulio hilo iliua mtu mmoja.Shambulio la pili ilifanyika mtaa wa Bulhan katika mji wa Garisa baada ya watu waliokuwa wamejihami kufyatua risasi kwenye eneo hilo,na katika tukio hilo watu wawili walipoteza Maisha huko mmoja akijeruhiwa vibaya.Katika miezi ya hivi karibuni mashambulio kadhaa yameitikisa kwenye miji mikubwa nchini Kenya,na mashambulio hayo yote yanahusishwa kuwa ni Majibu kwa Uvamizi wa Serikali ya Kenya dhidi ya Ardhi ya Somalia.

Related Items