Waasi wa Syria waiomba U.N na mataifa ya Magharibi kuingilia kijeshi nchi hiyo.

Sunday August 17, 2014 - 07:43:14 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2034
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Waasi wa Syria waiomba U.N na mataifa ya Magharibi kuingilia kijeshi nchi hiyo.

    Baada ya kuwa na kikao cha muda mjini Istanbul Uturuki kwa kile kinachoitwa Baraza la Muungano wa Wapinzani wa Kitaifa wa Syria wametangaza kuwaita Wanajeshi wa Kigeni kuingia Nchini Syria.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baada ya kuwa na kikao cha muda mjini Istanbul Uturuki kwa kile kinachoitwa Baraza la Muungano wa Wapinzani wa Kitaifa wa Syria wametangaza kuwaita Wanajeshi wa Kigeni kuingia Nchini Syria.Makundi ya wapinzani wa Syria walioko nje ya nchi wamechukua hatua hiyo ya kuiomba kwa kile kinachoitwa Umoja wa Mataifa ambao mataifa ya Magharibi ni sehemu ya Wananchama wa Umoja huo kuingilia Kijeshi ndani ya nchi ya Syria."Baraza pekee la Wawakilishi wa Kisheria Taifa la Syria ambao ndio wawakilishi wa Wananchi wa nchi hiyo inaiomba Muungano wa Umoja wa Mataifa kuigilia haraka kijeshi Syria ili kuwalinda wananchi wa nchi hiyo na Makundi ya Magaidi",alisema kiongozi wa Upinzani wa Syria.Siku mbili kabla Umoja huo wa mataifa ya Magaribi U.N uliiwekea Vikwazo Dola ya Kislaam na Jabhat Al Nusra ambao wote wanapigania kutaka nidhamu ya Sheria ya Kislaam katika nchi za Iraq na Syria.

Related Items