Shambulio iliyosababisha hasara kwa Wanajeshi wa Kenya yafanyika katika Miji ya Lamu na Garisa nchini.

Tuesday August 19, 2014 - 22:15:27 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2327
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyosababisha hasara kwa Wanajeshi wa Kenya yafanyika katika Miji ya Lamu na Garisa nchini.

    Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa mashambulio mengine mapya yaliosababisha hasara yamefanyika dhidi ya Maaskari Polisi wa Nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa mashambulio mengine mapya yaliosababisha hasara yamefanyika dhidi ya Maaskari Polisi wa Nchi hiyo.
Jana usiku watu waliokuwa wamejihami na Silaha ambao wanadhaniwa kuwa ni wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio yaliosababisha hasara ya maisha na mali eneo iliyo karibu na Kisiwa cha Lamu.

Duru zinaarifu kuwa shambulio lingine ilifanyika Wilaya iliyo chini ya Caunti ya Garisa ambapo Gari la Maaskari wa Kenya iliteketezwa kwa moto.

Ni shambulio iliyokuwa na hasara kubwa kuwahi kufanyika ndani ya Ardhi ya Kenya kwa kipindi cha Mwezi Augusta mwaka huu na Wakenya wanaonekana kujutia Azma yao ya kuivamia Kijeshi na kuichokoza Ardhi ya Somalia.

Related Items