Mapambano makali yaliofanyika baadhi ya mitaa mjini Mugadishu na mtu mmoja auawa Wilayani Hodon.

Wednesday August 20, 2014 - 20:51:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1630
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapambano makali yaliofanyika baadhi ya mitaa mjini Mugadishu na mtu mmoja auawa Wilayani Hodon.

    Habari kutoka eneo lililo nje kidogo ya mji wa Mugadishu zinaeleza kuwa jana usiku vikosi vya Mujahidina walifanya mashambulio makali dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Kigeni pamoja na yale ya Serikali ya FG.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka eneo lililo nje kidogo ya mji wa Mugadishu zinaeleza kuwa jana usiku vikosi vya Mujahidina walifanya mashambulio makali dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Kigeni pamoja na yale ya Serikali ya FG.Mapema jana usiku milio ya silaha yalisikika katika Wilaya ya Dayniile khususan eneo linalojulikana Ubad-kaal,wakaazi wa eneo hilo walisema kuwa watu waliokuwa na silaha walishambulia vituo vya Kijeshi na baada ya muda mfupi Makabiliano ya ana kwa ana yalizuka na kuwa uwanja wa mapambano.Upande mwingine Vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Lower Shabelle walifanya mashambulio dhidi ya Vituo kadhaa vya Wanajeshi wa Kigeni katika mitaa ya Elasha Biyaha.Hata hivyo Wanamgambo wa Serikali kibaraka ya FG wamefanya mauaji ya raia mmoja kwenye mtaa wa Sona Keey iliyo katika Wilaya ya Hodon,Mashuhuda wamesema aliyeuawa alikuwa ni kijana aliyekuwa na simu ya kiganjani Mobile na baada ya kumwua walichukua Simu yake.

Related Items