Dola ya Kislaam yamchinja Mwandishi wa habari James Foley Raia wa Kimarekani.

Wednesday August 20, 2014 - 20:53:22 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 5712
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Dola ya Kislaam yamchinja Mwandishi wa habari James Foley Raia wa Kimarekani.

    Dola ya kislaam imetangaza kumchinja mwandishi wa habari wa Kimarekani aliyokuwa akishikiliwa na Mujahidina kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

James Foley Raia wa Kimarekani aliyetangazwa na IS kuwa imemchinja.
Dola ya kislaam imetangaza kumchinja mwandishi wa habari wa Kimarekani aliyokuwa akishikiliwa na Mujahidina kwa muda wa mwaka mmoja sasa.Shirika la habari na utangazaji la Dola ya Kislaam la Al Furqaan imetoa nakala mmoja ya Video ikimwonyesha James Foley aliyekuwa Raia wa Kimarekani aliyetekwa mwaka 2012 nchini Syria.Mujahidina wamesema kuchinjwa kwa James Foley ni jawabu tosha kwa utawala wa Washington kwa kitendo chake cha kuishambulia kwa kutumia ndege za Kivita kaskazini mwa Iraq.Makachero wa CIA wamekiri kuwa aliyeonekana kwenye Video hiyo alikuwa ni James Foley aliyekuwa akihudumia shirika la habari la Kimarekani la AFP ambaye alikamatwa November 2012 alipokuwa akiripoti kutoka Mkoa wa Idlib.Mtu mmoja aliyekuwa amefunga uso wake wa IS alionekana kwenye Video hiyo huko akizungumza kwa lugha ya Kiingereza na amesema kwa utulivu sana kuwa hii ni kidogo tu ya yale waliyoyafanya Amerika dhidi ya Waislaam wa Iraq.Mwisho kabisa Dola ya Kislaam imetishia kutekeleza hukmu kwa wafungwa wengine kadhaa inayowashikilia lakini imesema inasubiri jibu kutoka Marekani endapo wataendelea na mashambulio yao au la.

Related Items