Ndege za Kijeshi za Kenya yashambulia Raia kwenye mji wa Khadija Haji iliyopo Mkoani Gedo Kusini Magharibi mwa Somalia.

Wednesday August 20, 2014 - 20:56:25 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2519
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Ndege za Kijeshi za Kenya yashambulia Raia kwenye mji wa Khadija Haji iliyopo Mkoani Gedo Kusini Magharibi mwa Somalia.

    Habari kutoka Mkoani Gedo kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kenya wamefanya mashambulio ya kinyama dhidi ya Makazi wanaoishi Raia wasio na hatia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Mkoani Gedo kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kenya wamefanya mashambulio ya kinyama dhidi ya Makazi wanaoishi Raia wasio na hatia.Wakaazi wamesema Ndege za kivita za Kenya yaliangusha Makombora kadhaa kwenye kijiji kilicho karibu sana kwa umbali wa KLM 19 na mji wa Khadija Haji nje kidogo ya mji wa Buulo Hawo.Vishindo vya Mashambulio ya Ndege za Kenya yaliskika katika Wilaya iliyoshambuliwa na inatarajiwa hasara yaliosababishwa na Mashambulio hayo dhidi ya Wananchi wa Kislaam.Habari zaidi zaeleza kuwa Kijiji kilichoshambuliwa hakuna utawala wowote wa Kislaam wala Kikosi chochote cha Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen na hii inaonyesha wazi uadui wa Serikali ya Kikafiri ya Kenya dhidi ya Wananchi wa Kislaam bila kujali anaepigana nae na asiyepigana nae.

Related Items