Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab waudhibiti mji wa Qur'a Joome mpakani mwa Ethiopia na Somalia.

Wednesday August 20, 2014 - 20:58:40 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4366
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab waudhibiti mji wa Qur'a Joome mpakani mwa Ethiopia na Somalia.

    Mamia ya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wameingia ndani ya mji wa Qur'a Joome iliyo kwenye mpaka wa kizushi unaozitenganisha kati ya Mkoa wa Bakool na Maeneo inayojulikana Ogaden ambapo ni maeneo inayoikaliwa kwa Mabavu na utawala

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mamia ya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wameingia ndani ya mji wa Qur'a Joome iliyo kwenye mpaka wa kizushi unaozitenganisha kati ya Mkoa wa Bakool na Maeneo inayojulikana Ogaden ambapo ni maeneo inayoikaliwa kwa Mabavu na utawala wa Ethiopia.


Habari kutoka mkoa wa Bakool zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wakiwa na Magari yao ya kivita waliivamia mji huo kutoka pande kadhaa baada ya kutoroka Maaskari waliokuwepo eneo hilo ambayo walikuwa wakijulikana kwa jina la Liyo Polis walioundwa na Serikali ya Ethiopia.
Duru zinaarifu kuwa Baada ya Mujahidina kuingia eneo hilo walitundika Bendera Nyeusi iliyoandikwa kalima ya Tawhidi katikati mwa Mji huo wa Qur'a Joome na Bendera ya Serikali ya Ethiopia na ile ya utawala wa Jigjiga uliteremshwa.Maofisa wa Mujahidina wa Al-Shabab walizungumza na Wananchi wa Qur'a Joome kwenye Viwanja viliopo mji huo na kuwasihi wananchi kuwa watulivu,habari zaidi zinaeleza kuwa Mujahidina walipata Ghanima za Silaha pamoja na Vifaa muhimu vya Kijeshi vilioachwa kwenye mji huo Wanajeshi waliotoroka.ilikuwa ni hivi karibuni tu walipoanza kujipanua Mujahidina kwenye miji za Garsweyne Lahelow na Lagala ambao yote iko inapakana na Mkoa wa Bakool na Maeneo yanayokaliwa na Utawala wa Ethiopia la Ogaden.Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu
Related Items