Sheikh Mselem Ali na mwenzake wafikishwa Mahakamani Dar Es Salaam.

Wednesday August 20, 2014 - 21:46:26 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 13082
  • (Rating 2.5/5 Stars) Total Votes: 4
  • 2 3
  • Share via Social Media

    Sheikh Mselem Ali na mwenzake wafikishwa Mahakamani Dar Es Salaam.

    Dhulma dhidi ya Waislaam baado unaendelea nchini Tanzania ambapo Serikali kibaraka iliyokula njama ya kuwadhulumu Viongozi muhimu na Vijana wa Kislaam nchini inaichangamkia mradi wa kupambana na Ugaidi uliofadhiliwa na Amerika na Mataifa ya Magharibi

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Sheikh Mselem Ali Mfasiri Maarufu Kitabu kitukufu cha Qur'an Afrika Mashariki.
Dhulma dhidi ya Waislaam baado unaendelea nchini Tanzania ambapo Serikali kibaraka iliyokula njama ya kuwadhulumu Viongozi muhimu na Vijana wa Kislaam nchini inaichangamkia mradi wa kupambana na Ugaidi uliofadhiliwa na Amerika na Mataifa ya Magharibi mwaka 2002.Habari kutoka Mjini Dar Es Salaam mji mkuu wa Tanzania zinaeleza kuwa jana Sheikh Mselem Ali Mselem alifikishwa Mahakama ya Kitaghuti ya hakimu mkazi wa Kisutu mjini Dar Es Salaam akikabiliwa na kesi ya kile walichokiita kuwa ya Kigaidi.Sheikh Mselem na Abdallah Saidi Ali jana walifikishwa Mahakamani hapo na kusomewa Mashtaka Mawakili wa Serikali Petter Njike na George Barasa mbele ya Hakimu Kafiri Augustine Mmbando.Sheikh Mselem na Mwenzake tangu walipotekwa na Maaskari wa Kupambana na Uislaam yapata wiki mmoja ambapo walichukuliwa kutoka Zanzibaar hadi tanganyika kitendo ambacho Waislaam nchini wanaiona ni kuinyima haki Nchi huru ya Zanzibaar.Hapo awali Serikali kibaraka ya Tanzania inayoendeleza uadui dhidi ya Uislaam ulishamkamata Sheikh Farid ambae ni kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislaam Zanzibaar nae anatuhumiwa kuufadhili Uislaam.Dhulma hii haitoweza kuondoka mpaka Waislaam Tanzania na Zanzibaar kuungana dhidi ya Adui wao wa Karne tangu Kafiri Nyerere aliyemwua Karume baada ya kupata idhidini yake ya kuunganisha Tanganyika na Zanzibaar kuwa kama taifa mmoja.

Related Items