VIDEO:Barack Obama "Dunia imeshtushwa kuchinjwa kwa James Foley na mimi mwenyewe nimesikitishwa na kitendo hicho".

Thursday August 21, 2014 - 09:51:30 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 5459
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    VIDEO:Barack Obama "Dunia imeshtushwa kuchinjwa kwa James Foley na mimi mwenyewe nimesikitishwa na kitendo hicho".

    Kiongozi wa Marekani amezungumza kwa masikitiko makubwa kuawa kwa mwandishi James Foley aliyeondoka mikononi mwa Dola ya Kislaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kiongozi wa Marekani amezungumza kwa masikitiko makubwa kuawa kwa mwandishi James Foley aliyeondoka mikononi mwa Dola ya Kislaam.Akizungumza na waandishi wa habari akiwa kwenye Jumba la Ikulu ya White House Barack Obama ametaja kuwa ni kitendo cha kushtusha walichofanya IS kwa raia huyo wa Kimarekani.


Amesema kwa yeye binafsi ameshtuka baada ya kuiona Video hiyo ambayo ilimwonyesha James Foley akikatwa Shingo na kisha shingo yake kuwekewa nyuma ya mgongo wake.


"Dunia yote imeshtushwa na kitendo hicho cha kumchinja James Foley na ni lazima Dunia ishiriki namna ya kuitokomeza IS ambayo ni Kansa hatari kwa Waislaam na Makafiri"alisema Barack Obama.Kiongozi huyo wa Marekani amezungumzia kisiasa zaidi na kusema kuwa Serikali yake itachukua hatua yeyote ya kuwalinda raia wa Marekani.Mujahidina wa Dola ya Kislaam siku ya jana walitoa Mkanda wa Video unaomwonyesha akichinjwa Askari wa Kimarekani ambaye pia alikuwa Mwandishi wa habari,Dola ya Kislaam imesema kuwa hii ni Jawabu tosha kwa Uvamizi wa Marekani nchini Iraq.

TIZAMA VIDEO HAPA CHINI

Related Items