PICHA:Mihadharati yalioingizwa kisiri Mkoa wa L/Shabelle yachomwa moto katika mji wa Baraawe.

Monday August 25, 2014 - 07:25:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2392
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Mihadharati yalioingizwa kisiri Mkoa wa L/Shabelle yachomwa moto katika mji wa Baraawe.

    Katika Uwanja mkubwa uliopo mji wa Baraawe mamia ya wananchi walikuja kushuhudia mwanaume alieyetekelezewa hukumu ya ta'siir ya kupigwa bakora 35 kwa makosa ya kuingiza Magunia kumi ya tumbako ya unga na katoni saba ya Sigara.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Katika Uwanja mkubwa uliopo mji wa Baraawe mamia ya wananchi walikuja kushuhudia mwanaume alieyetekelezewa hukumu ya ta'siir ya kupigwa bakora 35 kwa makosa ya kuingiza Magunia kumi ya tumbako ya unga na katoni saba ya Sigara.

Qadhi wa Wilaya wa mji wa Baraawe amesema mshitakiwa amekiri mwenyewe kwa kutenda kusa hilo na kutangaza hukumu hiyo ya kupigwa Bakora na Maofisa wa Usalama wanaojulikana Hisba walitekeleza upigaji huo na kuchoma Mihadharati hizo mbele ya kadamnasi waliohudhuria katika Uwanja huo.
Aina ya Tumbako hiyo iliyokamatwa ilikuwa ya unga ambayo iliyosagwa ilitupwa Baharini baada ya kuhofiwa uchomaji wake ungeweza kuwadhuru watu kiafya.Mwanaume huyo alyekuwa na Gari kubwa alikamatwa akiwa na Mihadharati hiyo alihukumiwa kifungu cha miezi mitatu ya jela huko Gari iliyobeba nayo ikiwekwa kizuizini kwa muda wa miezi miwili bila kufanya kazi.Ardhi yote inayoshikilia Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ni Marufuku kuingizwa au kuuzwa Mihadharati ya Sigara,Tumbako,Bangi,Pombe na chocheto kinacholevya akili ya mwanaadamu.Miaka ya nyuma Utawala wa Kislaam kwenye Maeneo mbalimbali ilitekeleza hukumu ya Ta'ziir na Kifungo kutokana na watu kukamatwa wakifanya biashara na kula Mihadharati hizo zilizopigwa Marufuku kwenye Maeneo yote yanayotumika Mfumo wa Sheria za Kislaam.Pakiti kadhaa za Sigara zilizofichwa kwenye pipa za Plastiki


Gurudumu likiwa limesheheni Pakiti nyingi za Sigara 


Mamia ya Wananchi wakishuhudia Hukumu ya Uchomaji na upigaji wa Bakora Ta'ziir wakiwa uwanjani


Pakiti za Sigara zikiwekwa kwenye hadhara za Uwanja huo wa Baraawe


Mihadharati za Sigara tayari kuanza Kuchomwa katika Uwanja huo


Mihadharati ya Tumbaku ya Unga zilizofichwa kwenye Magunia


Mamia ya Wananchi wa Kislaam wakishuhudia hukumu katika Uwanja huo wa Tabuuk BaraaweChanzo:Radio Al Furqan

Related Items