Rais wa Djibuti anusurika katika jaribio la kuawa uliofanyika uwanja wa Ndege wa Nchi hiyo.

Tuesday August 26, 2014 - 21:52:33 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1932
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Rais wa Djibuti anusurika katika jaribio la kuawa uliofanyika uwanja wa Ndege wa Nchi hiyo.

    Habari kutoka nchini Djibuti zinaeleza kuwa Rais wa nchi hiyo Ismail Umar Gelle amenusurika kwenye jaribio la kuawa uliofanyika ndani ya uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Djibuti wakati ambapo kukiwa na Ziara ya wajumbe wa Kiserikali aliyokuwa akiwaong

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Rais wa Djibuti Ismail Umar Gelle.
Habari kutoka nchini Djibuti zinaeleza kuwa Rais wa nchi hiyo Ismail Umar Gelle amenusurika kwenye jaribio la kuawa uliofanyika ndani ya uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Djibuti wakati ambapo kukiwa na Ziara ya wajumbe wa Kiserikali aliyokuwa akiwaongoza.Maofisa wa Usalama wa Djibuti wamekiri kwenye jaribio hilo imewajeruhi watu wawili waliokuwa karibu na Kiongozi huyo ambapo mmoja wao alikuwa ni Afisa mwenye cheo cha juu katika Serikali ya nchi hiyo.Duru zilieleza kuwa Ismail Umar Gelle kabla ya kufanyika ufyatuaji huo wa Risasi alitoroka kutoka eneo la tukio,na imethibitishwa kuwa Murtad huyo amenusurika kwenye tundu la sindano katika shambulio hilo iliyolenga kummaliza yeye.Mpaka sasa haijajulikana sababu ya shambulio hilo na jaribio la kutaka kuawa lakini maofisa wa Usalama wa Utawala huo wa Ridda wamesema watafanya uchunguzi wa kina kujua sababu iliyopelekea na watu waliokuwa nyuma ya shambulio hilo.Taarifa za awali zinaeleza kuwa aliyefanya shambulio hilo alikuwa miongoni mwa Maofisa wa waliokuwa wakimlinda kiongozi huyo,na kuna taarifa tofauti zinazotolewa kuhusiana na shambulio hilo.Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Murtad Ismail Umar Gelle kuhusiana na shambulio hilo,licha ya taarifa mbalimbali kudai kuwa shambulio hilo ilimlenga yeye.Related Items