Wanajeshi wa Nigeria hatarini kusambaratika na Mujahidina waendelea kuutwa maeneo zaidi.

Wednesday August 27, 2014 - 20:45:41 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2657
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa Nigeria hatarini kusambaratika na Mujahidina waendelea kuutwa maeneo zaidi.

    Wapiganaji wa Kislaam nchini Nigeria wa Ahlusuna lida'awat wal qitaal wameudhibiti maeneo zaidi baada ya kufanyika mapiganao makali kati yake na Wanajeshi wa Utawala Kibaraka wa nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wapiganaji wa Kislaam nchini Nigeria wa Ahlusuna lida'awat wal qitaal wameudhibiti maeneo zaidi baada ya kufanyika mapiganao makali kati yake na Wanajeshi wa Utawala Kibaraka wa nchi hiyo.Afisa aliyezungumza kwa niaba wa Serikali ya Nigeria amesema Boko Haraam wameuchukua Miji baada ya kufanyika mapigano makali ambayo haijawahi kushuhudiwa historia ya Nigeria.Shirika la habari la AFP imewanukuu baadhi wakaazi wa maeneo hayo yaliochukuliwa na Mujahidina na kutangaza kuwa Wapiganaji wa kislaam wa Nigeria wameyatundika Bendera nyeusi ambayo katikati kuna neno la tawhiid kwenye majengo ya Serikali kama vile Makao makuu ya Wilaya,Kituo cha Polisi,Majengo ya kukusanya Ushuru,pamoja na Ofisi ya Uhamiaji.Ni ushindi mwingine uliofikiwa na Mujahidina wa Nigeria dhidi ya Maadui wanaokabiliana nao,upande mwingine mamia ya Wanajeshi wa Serikali walioshindwa Vita na Mujahidina wameanza kutorokea upande wa nchi jirani na Nigeria.Serikali ya Cameroon imethibitisha kuwa nchi yake imewapokea takriban Wanajeshi 500 kutoka Nigeria ambapo walivuka mpaka wa nchi hiyo na Nigeria ghafla bila kujulikana.Col.Diidiye Baadjik ambae ni Msemaji wa Kijeshi wa Cameroon amethibitisha kuwapokea Wanajeshi 480 kutoka nchini Nigeria na kisha kuwahifadhi Shule mmoja na kuwapokonya Silaha walizokuwa nazo ametaja kuwa Wanajeshi hao walionekana kuwa ni waliokata tamaa na nyuso zao ilionyesha hali mbaya ya Vita nchini Nigeria.Miji walioutwaa Mujahidina wa Ahlusunna ni Kamboro na Nigaal na wako karibu na Miji zinazopakana na nchi jirani kiasi cha KLM 80.Ahadi zilizotolewa na mataifa ya Magharibi iliyokuwa itasaidiana na Serikali ya Nigeria kupambana na kile walichokiita makundi ya Kigaidi nchini Nigeria hazikufua dafu na Mataifa hayo yanahangaika na Vita vya Afghanistaan na Iraq.

Related Items