Wapiganaji wa Kislaam wanaoendelea kujipanua Libya na U.N yatangaza vikwazo.

Thursday August 28, 2014 - 21:46:39 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2541
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Wapiganaji wa Kislaam wanaoendelea kujipanua Libya na U.N yatangaza vikwazo.

    Wakati kukiwa na mapigano makali kwenye maeneo mbalimbali nchini Libya Wapiganaji wa Ki'almaani wanaoungwa mkono na mataifa ya Magharibi wameendelea kudhoofika.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wakati kukiwa na mapigano makali kwenye maeneo mbalimbali nchini Libya Wapiganaji wa Ki'almaani wanaoungwa mkono na mataifa ya Magharibi wameendelea kudhoofika.Habari kutoka nchini Libya zinaeleza kuwa Vikosi vya Wapiganaji wa Kislaam wanafanya juhudi ya kuiteka uwanja wa kimataifa wa Ndege wa mji wa Benghazi.Mujahidina wa Ansaru Sheria na Baraza la Shura la Mji wa Benghazi inaarifiwa wamewakung'uta wanamgambo wa Khalif Haftar ambae ni Kibaraka anaepata msaada kutoka Marekani.Maeneo mengi ya Mji mkuu wa Libya Tripoli umeingia mikononi mwa vikosi vya Wapiganaji wa Kislaam wanaoiunga mkono Kundi la Ikhwanul Muslimiina.Taarifa rasmi kutoka kile kinachoitwa Umoja wa Mataifa ilidai kuiwekea vikwazo vya silaha makundi yote ya wapiganaji wa Kislaam nchini Libya.U.N imewataja kuwa ni Makundi ya Kigaidi wapiganaji wa Kislaam nchini Libya ambapo miezi 4 yaliopita yalipata mafanikio makubwa upande wa vita katika nchi hiyo iliyo Afrika ya Kaskazini.

Related Items