Shirika la Twitter yazifunga Ukurasa wa Mujahidina wa Libya,Yemen na Iraq.

Thursday August 28, 2014 - 21:48:56 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2302
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Shirika la Twitter yazifunga Ukurasa wa Mujahidina wa Libya,Yemen na Iraq.

    Mataifa ya Magharibi yameongeza nguvu zao za kupambana na Uislaam kote ulimwenguni huko vita vyao wakielekeza kutumia chochote wanachoweza kukitumia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mataifa ya Magharibi yameongeza nguvu zao za kupambana na Uislaam kote ulimwenguni huko vita vyao wakielekeza kutumia chochote wanachoweza kukitumia.Shirika la Twitter limeifungia ndani ya siku 30 Akaunti au Kurasa za Kislaam waliokuwa wakitumia Waislaam wanaounga mkono harakati za Jihadi ya kimataifa.Mamia ya Akaunti za waliokuwa wakiweka taarifa ya maenedeleo ya Jihadi nchini Syria,na Iraq zimefungiwa baada ya kuweka taarifa na Picha kadhaa zilizovutia macho ya mamilioni ya Waislaam kote Duniani.

http://wata.cc/up/2014/08/images/w-ed8b835e3b.jpg

Mataifa ya Magharibi waliounda mitandao hizi za Kijamii zimewanufaisha waislaam ambao Mataifa hayo huwaita kuwa ni wenye misimamo mikali na kuwashinda kutumia Mitandao hizo ambazo zimesababisha kuwavutia na kuwaamsha Mamia ya Waislaam kwa kiwango cha juu.Jana usiku wa manane ndio ilikuwa siku ya mwisho kuonekana baada ya Shirika hilo kuzifunga Ukurasa wa Mujahidina wa Ansaru Sheria Libya na Ansaru Sheria wa Yemen.Na hii ni vikwazo vingine ambao Shirika hilo inataka kuwanyamazisha Jamii na itakumbukwa vyombo hivi vya kisasa haviwezi kukandamizwa na kufungwa midomo na kauli mbio yao ya kuwa kila mmoja anayo Uhuru wa kutoa taarifa sasa inaonekana kuwa ya urongo.

Related Items