Vituo vya Wanajeshi wa Ethiopia yashambuliwa Baydoba.

Thursday August 28, 2014 - 21:51:09 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2520
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Vituo vya Wanajeshi wa Ethiopia yashambuliwa Baydoba.

    Habari kutoka mji wa Baydoba zinaeleza kuwa Mashambulio makubwa yamefanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia ambao wana makao ktk mji huo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mji wa Baydoba zinaeleza kuwa Mashambulio makubwa yamefanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia ambao wana makao ktk mji huo.Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen mapema leo asubuhi walifanya mashambulio kadhaa ya kurushia Mizinga katika Uwanja wa Ndege wa Mji wa Baydoba na Kambi ya ADC ambao kuna vituo vya Wanajeshi wa Kihabeshi.Wakaazi walisema walisikia milio ya Silaha nzito ziliozokuwa zikirushwa huko Wanajeshi wa Ethiopia nao kwa upande wao walikuwa wakijibu kwa Kurusha makombora.Idhaa ya Radio Al Andalus iliyowanukuu baadhi ya Maofisa wa Mujahidina wa Al-Shabab limetangaza kuwa Wanajeshi walioshambuliwa walipata hasara kubwa ya mali na Nafsi kwa.Mji wa Baydoba ni miongoni mwa Miji mikubwa ambao Maadui wameukalia tangu mwaka 2012 na maeneo kadhaa wa mji huo unashahudia mashambulio kadhaa unaofanyika takriban kila siku ambao Mujahidina wanazilenga Maadui.

Related Items