Vikosi vilioiteka Gereza la Godka Jili'ow mjini Mugadishu na Al-Shabab wakiri kuhusika.

Sunday August 31, 2014 - 21:46:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2137
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Vikosi vilioiteka Gereza la Godka Jili'ow mjini Mugadishu na Al-Shabab wakiri kuhusika.

    Makabiliono makali yaliibuka leo kwenye Gereza la Godka Jili'ow iliyo karibu sana na Ikulu ya Rais ya Villa Somalia ambapo ni eneo linalolindwa sana.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Makabiliono makali yaliibuka leo kwenye Gereza la Godka Jili'ow iliyo karibu sana na Ikulu ya Rais ya Villa Somalia ambapo ni eneo linalolindwa sana.Afisa mmoja wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ameithibitishia SomaliMemo kuwa Vikosi vyao wameidhibiti Gereza hilo kiukamilifu.Afisa huyo ametaja kuwa opresheni hiyo ilikuwa imepangwa vyema,Gereza hilo linatajwa kuwa ni Gereza linalofanya kazi ya kuwaadhibu waislaam inayoendeshwa na Maadui wa Uislaam kutoka mataifa ya kigeni.Mwandishi wa habari aliyopo Wilaya ya Bondere mjini Mugadishu ameliambia SomaliMemo kuwa amesikia milio ya silaha nzito pamoja na milipuko iliyofanyika ndani ya Majengo ya Gereza hilo la Godka Jili'ow.Wanajeshi wa AMISOM waliokuwa na Magari ya Kivita walifika eneo la tukio,Vikosi viliofanya opresheni hiyo inawapa ujumbe tosha kwa Wanajeshi wa Kigeni walioivamia Somalia pamoja na Washirika wao ambao siku za hivi karibuni walikuwa wakiimba kuwa wamewatokomeza Al-Shabab.Related Items