PICHA:Opresheni iliyofanyika katika Gereza la Godka Jili'ow yaitikisa mji wa Mugadishu.

Sunday August 31, 2014 - 21:52:04 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2242
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Opresheni iliyofanyika katika Gereza la Godka Jili'ow yaitikisa mji wa Mugadishu.

    Mamia ya Wanajeshi wa Kigeni waliojiita AMISOM wamemwagwa pembezoni mwa Majengo ya Ikulu ya Rais ya Villa Somalia pindi tu Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab walipoiteka Jengo muhimu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mamia ya Wanajeshi wa Kigeni waliojiita AMISOM wamemwagwa pembezoni mwa Majengo ya Ikulu ya Rais ya Villa Somalia pindi tu Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab walipoiteka Jengo muhimu.Milio ya Risasi zilisikika eneo la Gereza la Godka Jili'ow,walioshuhudia walisema Vifaru vya Wanajeshi wa AMISOM yalikuwa yakizunguka eneo la Gereza huko wakitumia Vifaru vyao kulipua na kurusha baadhi ya maeneo ya Majengo waliokuwa wakiamini kuna Mujahidina wa Al-Shabab.


Moshi na vumbi jeusi ulitanda eneo la Majengo ya Ikulu ya Rais na mji mkuu wa Somalia umegeuka na kuwa Uwanja wa Mapambano,habari zaidi zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walianza kuwaua Maaskari pamoja na Maofisa waliokwamo kwenye Gereza hilo.

Embedded image permalink
Embedded image permalink

Related Items