Harakat Al-Shabab Al Mujahideen yadai kuhusika shambulio iliyowaua Maofisa wa Kizungu mjini Mugadishu.

Monday September 08, 2014 - 21:57:53 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2918
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Harakat Al-Shabab Al Mujahideen yadai kuhusika shambulio iliyowaua Maofisa wa Kizungu mjini Mugadishu.

    Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na shambulio lililofanyika jioni hii katika eneo la Hawa Abdi iliyo nje kidogo na mji wa Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na shambulio lililofanyika jioni hii katika eneo la Hawa Abdi iliyo nje kidogo na mji wa Mugadishu.

Afisa mmoja wa Habari na maelezo wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ameliambia SomaliMemo kuwa mmoja wa Kikosi cha Istish-haadiya amekilenga Gari waliokuwemo Maofisa wa Kizungu ambapo wote waliokuwemo kwenye Gari hilo wameangamia.Al-Shabab haikutoa ufafanuzi zaidi uraia wa Maofisa iliyowalenga isipokuwa Jenerali mmoja aliyetajwa kuwa ni kutoka Amerika na mmoja mzaliwa wa Afrika ya Kusini.

Risasi waliofytua Wanajeshi wa AMISOM baada ya Mlipuko huo imesababisha vifo vya Wananchi wa Kislaam 20 ambapo walikuwemo kwenye usafiri wa Gari la Abiria.

Related Items