Baadhi ya viongozi wakuu wa Ahraru Shaam wauawa nchini Syria.

Wednesday September 10, 2014 - 21:49:31 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2302
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Baadhi ya viongozi wakuu wa Ahraru Shaam wauawa nchini Syria.

    Shambulio iliyofanyika nchini Syria limewaua baadhi ya viongozi wakuu wa Makundi ya upinzani yanayopigana dhidi ya Nidhamu ya Bashar Al-Asad.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Miili ya Kiongozi mmoja wa Kundi la Ahraru Shaam.
Shambulio iliyofanyika nchini Syria limewaua baadhi ya viongozi wakuu wa Makundi ya upinzani yanayopigana dhidi ya Nidhamu ya Bashar Al-Asad.Shambulio iliyofanyika mji wa Idlib imewaua takriban Viongozi 50 wa Kundi la kislaam la Ahraru Shaam.


Mlipuko mkubwa uliofanyika Nyumba mmoja iliyokuwa chini ya Ardhi iliua viongozi kadhaa akiwemo Hassan Abuda Amiri wa Kundi hilo la Ahraru shaam,Abuu Dalha Mkuu wa Majeshi pamoja na Abdul Malik ambae alikuwa Kwenye kitengo cha Uadilifu na Sheria.Afisa aliyezungumza kwa niaba ya Ahraru Shaam amesema mlipuko huo ulitokana na vitu viliokuwa na sumu ambapo ililipuko eneo hilo ghafla na ameilaumu Utawala wa Bashar Al Asad kutokana na Vifo vya Viongozi waliouawa.


Kundi la Ahraru Shaam ni miongoni mwa Kundi la Jahbat Nusra inayopigana nchini Syria kwa lengo kumwondoa Madarakani Nidhamu ya Bashar Al-Asad na kisha kuweka utawala wa Kitaifa wa Syria.Related Items