Takriban Wanajeshi 10 wa Ethiopia wauawa kwenye makabiliano makali yaliofanyika nje ya mji wa Galbahaarey.

Wednesday September 10, 2014 - 21:51:56 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1824
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Takriban Wanajeshi 10 wa Ethiopia wauawa kwenye makabiliano makali yaliofanyika nje ya mji wa Galbahaarey.

    Habari kutoka Mkoani Gedo Kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia waliopo eneo hilo wameshambuliwa vikali.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Mkoani Gedo Kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia waliopo eneo hilo wameshambuliwa vikali.Mapema leo nyakati ya Adhuhuri Vikosi vya Mujahidina waliwavizia Msafara wa Magari ya Wanajeshi wa Ethopia waliotoka mji wa Galbaharey ambapo walikuwa wakielekea upande wa Beled Hawo.
Mwandishi wa habari aliyopo Gedo anasema Wanajeshi wa Ethiopia walikutana na upinzani mkubwa katika eneo la Tuulo Barwaaqo iliyo umbali wa KLM 20 kutoka Galbaharey.


Magari mawili ya Kijeshi ya Ethiopia zimeteketezwa vibaya baada ya kurushiwa Mizinga kadhaa ya kupigia Begani.


Milio ya risasi zilizokuwa wakirushiana Waislaam na Wanajeshi wa Ethiopia zilirindima masaa kadhaa katika eneo la mapambano,habari zaidi zinaeleza kuwa Wanajeshi 6 wa Ethiopia wameuawa kwenye uwanja wa mapambano,Wanajeshi hao Maadui leo jioni walielekea upande wa Beled Hawo huko wakiwa Madhalili na kuvunjika Migongo.


Ni Shambulio la 3 kulengwa ndani ya Wiki mmoja Wanajeshi hao Wavamizi kutoka Ethiopia.

Related Items