Katumba Wamala "Kiongozi mpya wa Al-Shabab anapanga kuishambulia Uganda".

Wednesday September 10, 2014 - 21:55:09 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3470
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Katumba Wamala "Kiongozi mpya wa Al-Shabab anapanga kuishambulia Uganda".

    Uongozi wa Kijeshi nchini Uganda wameonyesha khofu yao kuhusiana na Mashambulio makubwa kutoka kwa vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Uongozi wa Kijeshi nchini Uganda wameonyesha khofu yao kuhusiana na Mashambulio makubwa kutoka kwa vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.Mji mkuu wa Uganda Kampala umewekwa katika hali ya tahadhari pamoja na Wanajeshi wa Usalama kufuatia mashambulio yanayodaiwa huenda wakafanya Mujahidina wa Somalia.
Jenerali Wamala Katumba aliyezungumza kwa niaba ya Wanajeshi wa Nchi hiyo ameliambia Gazeti mmoja la Observer la nchini Uingereza kuwa kiongozi mpya wa Al-Shabab Sheikh Ahmed Umar Abuu Ubeyda anapanga mkakati wa kuishambulia Uganda."Wanajeshi wa Uganda wamewekwa katika hali ya tahadhari kwasababu Uongozi mpya wa Al-Shabab unapanga kufanya mashambulio makubwa nchini mwetu kama kulipiza kisasi",alisema Wamala Katumba.Uganda iliyo sehemu ya mataifa yalioivamia Wanajeshi wake nchini Somalia inahaha na kuhkofia mashambulio,mwaka 2010 Harakat Al-Shabab Al Mujahideen la nchini Somalia lilifanya mashambulio makubwa iliyowaua watu kadhaa mjini Kampala.

Related Items