Mujhadina wauchukua mmoja ya miji mikubwa nchini Nigeria.

Sunday September 14, 2014 - 12:30:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2128
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Mujhadina wauchukua mmoja ya miji mikubwa nchini Nigeria.

    Vikosi vya Mujahidina wa Ahlusunna lida'wat wal Jihad wameuchukua mji muhimu wa kistratiji wa Maiduguri nchini Nigeria.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina wa Ahlusunna lida'wat wal Jihad wameuchukua mji muhimu wa kistratiji wa Maiduguri nchini Nigeria.Habari kutoka nchini Nigeria zinaeleza kuwa baada ya Mapigano makali Mujahidina wa Ahlusunna Lida'awat wal Jihad walifanikiwa kuuchukua mji muhimu.
Mujahidina waliwafurusha Wanajeshi wa Utawala kibaraka wa Nigeria na kuutwaa mji wa Maiduguri iliyo makao makuu ya Mkoa wa Bono.Vyombo vya habari nchini Nigeria vilithibitisha kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Boko Haram iliuchukua mji huo na kuwaachia maelfu ya wafungwa waliokuwa wakishikiliwa katika Gereza kuu la mji wa Maiduguri.Maiduguri ni mji mkubwa na itakumbukwa Mujahidina walikwisha ufungua miji yote ya mkoa wa Bono nchini Nigeria.


Kuchukuliwa kwa miji kadhaa mikubwa nchini Nigeria na Mujahidina wa Boko Haram Utawala wa Kibaraka wa nchi hiyo umetajia kuwa ni hatari kubwa wa Ugaidi unaoendelea kuusambaa katika nchi ya Nigeria.

Related Items