Afisa mmoja wa kitengo cha kupambana na Uislaam auawa katikati mwa mji wa Mugadishu na Al-Shabab yakiri kuhusika.

Sunday September 14, 2014 - 12:36:09 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1734
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Afisa mmoja wa kitengo cha kupambana na Uislaam auawa katikati mwa mji wa Mugadishu na Al-Shabab yakiri kuhusika.

    Wakati kukiwa na hali mbaya ya usalama katika mji mkuu wa Somalia Mugadishu baado mauaji dhidi ya maofisa na Maaskari wa Serikali ya FG yanaendelea kwa kasi zaidi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wakati kukiwa na hali mbaya ya usalama katika mji mkuu wa Somalia Mugadishu baado mauaji dhidi ya maofisa na Maaskari wa Serikali ya FG yanaendelea kwa kasi zaidi.Jana nyakati ya Adhuhuri watu waliokuwa na Silaha walimpiga Risasi katika eneo la Makutano ya KLM 5 naibu mkuu wa kupambana na Ugaidi wa Serikali ya FG inayofanya kazi na Wavamizi.Walioshuhudia wamesema watu waliojihami na silaha za Pisto walimpiga risasi Col.Mohamed Qanuuni,taarifa zaidi zaeleza Maaskari wawili waliokuwa walinzi wake pia wamejeruhiwa vibaya na hali zao ni mbaya kufuatia shambulio hilo.


Qanunu huyo aliyeuawa jana alishika nyadhifa huo wa kupambana na ugaidi kufuatia kuawa kwa aliyekuwa kwenye cheo hicho miezi miwili iliyopita mjini Mugadishu.


Afisa huyo aliyeuawa alikuwa na mawasiliano ya karibu na Maofisa wenzake wa Jeshi la Marekani wanaopanga mikakati ya kuawa waislaam katika Kambi kubwa ya Halane.


Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imekiri kuhusika kifo cha Afisa huyo wa kupambana na Uislaam,Kiongozi mmoja wa ofisi ya Habari na maelezo ya Al-Shabab ameliambia vyombo vya habari kuwa kikosi maalum cha Mujahidin ilimlenga Afisa huyo wa Serikali ya FG.

Related Items