Vikosi vya Mujahidina waukomboa maeneo yaliopo Mkoa wa L/Shabelle na Mapigano yaliofanyika E'el Salindi.

Sunday September 14, 2014 - 12:37:54 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2118
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Mujahidina waukomboa maeneo yaliopo Mkoa wa L/Shabelle na Mapigano yaliofanyika E'el Salindi.

    Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa mapigano makali yalifanyika jana jioni kwenye miji yaliopo mkoa huo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa mapigano makali yalifanyika jana jioni kwenye miji yaliopo mkoa huo.Mapigano hayo yalikuja wakati Mujahidina wa Al-Shabab walipofanya mashambulio makubwa kwenye Kambi ya Wanajeshi wavamizi wa Misalaba AMISOM iliyopo nje kidogo na mji wa Marka.
Duru ziliarifu kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab walikuwa wakikabiliana na Wanajeshi wa AMISOM kwa muda wa zaidi ya saa mmoja.Upande mwingine shambulio iliyosababisha hasara ilifanyika jana jioni baada ya Mujahidina kufanya shambulio dhidi ya Wanamgambo wa FG waliokuwa na Beria/Road Block katika Barabara ya Barire.Vikosi vya Mujahidina waliofanya shambulio waliudhibiti eneo iliyokuwa Beria/Road Block  ya Wanamgambo wa FG huko Mujahidina wakichukua Pesa na Silaha zilizokuwa eneo hilo.

Related Items