Dola ya Kislaam yamkata Kichwa Mwingereza David Haines na Britain yailaani.

Sunday September 14, 2014 - 12:41:23 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4262
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Dola ya Kislaam yamkata Kichwa Mwingereza David Haines na Britain yailaani.

    Kikosi cha Mujahidina wa Dola ya Kislaam imetekeleza hukumu ya kifo kwa Raia wa Uingereza David Haines ambapo kwa kipindi cha mwaka mmoja alikuwa mikononi mwa Mujahidina.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kikosi cha Mujahidina wa Dola ya Kislaam imetekeleza hukumu ya kifo kwa Raia wa Uingereza David Haines ambapo kwa kipindi cha mwaka mmoja alikuwa mikononi mwa Mujahidina.Kitengo cha habari na matangazo cha Al-Furqaan Media inayomilikiwa na Dola ya Kislaam ilitoa mkanda wa Video ikimwonyesha David Haines Raia wa Kiingereza akikatwa Kichwa.
Mwanaume aliyeonekana kwenye mkanda huo wa Video alisoma Risala na kusema sababu ya kumchinja David Haines kuwa kuhusika Utawala wa Britain na uvamizi wa Iraq kwa kushirikiana na Amerika.David Haines alikamatwa na Mujahidin alipokuwa nchini Syria,Waziri mkuu wa Uingereza David Camiroon akizungumzia tukio hilo amesema taifa lake limesikitishwa na kitendo hicho cha kuchinjwa kwa Raia wao David Haines.Upande mwingine kwenye mkanda huo ilimwonyesha mwuingereza mwingine anaesubiri kukatwa kichwa hivi karibuni ikiwa Utawala wa Uingereza haitosita kushirikiana na Amerika juu ya Uvamizi wa Iraq.Dola ya Kislaam IS inayodhibiti maeneo mengi ya Iraq na Syria ilishawahi kuwachinja Waandishi wawili wa Kimarekani na imetishia kuwaua Raia wote wa Uingereza inayowashikilia.

Related Items