Wanajeshi watatu wa AMISOM wauawa kwenye milipuko kadhaa yaliofanyika miji ya Buula Mareer na Marka.

Wednesday September 17, 2014 - 21:27:26 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1639
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi watatu wa AMISOM wauawa kwenye milipuko kadhaa yaliofanyika miji ya Buula Mareer na Marka.

    Milipuko kadhaa yaliosababisha hasara yalifanyika jana katika Wilaya yalio kwenye mkoa wa Lower Shabelle pamoja na mji mkuu wa Somalia Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Milipuko kadhaa yaliosababisha hasara yalifanyika jana katika Wilaya yalio kwenye mkoa wa Lower Shabelle pamoja na mji mkuu wa Somalia Mugadishu.Habari kutoka mji wa Buula Marer zinaarifu kuwa mlipuko mkubwa ulilengwa Kikosi cha Wanajeshi wa Kigeni wa AMISOM wakati walipokuwa wakifanya doria ndani ya mji huo.
Walioshuhudia wanasema watu waliokuwa na Mabomu ya kurusha mikononi waliwashambulia kikosi mmoja wapo ya Wanajeshi wa AMISOM waliokuwa wakitembea kwa miguu na papo hapo wanajeshi 3 wa Jeshi la AMISOM wameuawa na wengine wanne wakijeruhiwa vibaya.Upande mwingine jana nyakati ya Adhuhuri ilifanyika shambulio la Bomu iliyowalenga Wanamgambo wa Serikali kibaraka ya FG katika mji wa Marka.Ni Milipuko ya tatu kufanyika ndani ya siku mbili katika mji wa Buula Marer ambapo yote umewalenga Wanajeshi wavamizi wa Misalaba waliojiita AMISOM pamoja na Washirika wao walioingia mji huo hivi karibuni.


Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items