Takriban Wanajeshi 10 wauawa kwenye mji wa Afgooye na Al-Shabab yaingia ndani ya mji huo.

Wednesday September 17, 2014 - 21:29:11 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3197
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 3
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Takriban Wanajeshi 10 wauawa kwenye mji wa Afgooye na Al-Shabab yaingia ndani ya mji huo.

    Habari kutoka Mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa usiku wa kuamkia leo kulifanyika shambulio iliyosababisha hasara kubwa ndani ya mji wa Afgooye.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa usiku wa kuamkia leo kulifanyika shambulio iliyosababisha hasara kubwa ndani ya mji wa Afgooye.


Kikosi mmoja wapo ya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ilifanya shambulio iliyopangwa vyema eneo iliyokuwa Beria/Road Block ya Wanamgambo wa Serikali ambapo kwa kawaida huchukua pesa kwa nguvu kutoka kwa Wananchi pamoja na Magari ya Raia baada ya hapo kulifanyika makabiliano yaliodumu dakika 25.Duru za kuaminika zilithibitisha kuwa Wanamgambo 6 waliuawa papo hapo kwenye mapigano na mmoja alichinjwa na Mujahidina wa Al-Shabab baada ya kukamatwa akiwa hai.Walioshuhudia wanasema pindi mapigano yalipokamilika waliona Mahema ya Wanamgambo yakiteketea kwa moto na Kikosi kilichofanya shambulio yakiingia ndani ya Wilaya ya Afgooye.Afisa mmoja wa Mujahidina wa Al-Shabab alizungumza na Radio Al Andalus inayozungumza kwa niaba ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen alisema kikosi chao iliua Wanamgambo 6 wa Serikali yaliokuwa yakifanya uporaji na pia walichukua Silaha zote yaliokuwa kwenye eneo la Beria/Road Block.Habari zaidi zinaeleza kuwa Miili ya Wanamgmbo 6 waliouawa mmoja akiwa amekatwa shingo yalikusanywa ndani ya Wilaya ya Afgooye,ni shambulio iliyokuwa na hasara nyingi kufanyika katika mkoa wa Lower Shabelle ndani ya mwezi huu ambapo imewasibu wanamgambo unaoongozwa na Hassan Sheikh.Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items