Ikulu ya mji wa Kismaayo yashambuliwa na shambulio iliyofanyika kituo cha Wanajeshi wa Ethiopia katika mji wa Tayiglow.

Wednesday September 17, 2014 - 21:30:54 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1545
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Ikulu ya mji wa Kismaayo yashambuliwa na shambulio iliyofanyika kituo cha Wanajeshi wa Ethiopia katika mji wa Tayiglow.

    Habari kutoka mji wa Kismaayo zinaeleza kuwa kumefanyika shambulio kubwa dhidi ya Ikulu ya mji huo ambao kulikuwa na Viongozi pamoja na Maofisa wa Serikali ya FG na Utawala wa Ahmed Madobe.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mji wa Kismaayo zinaeleza kuwa kumefanyika shambulio kubwa dhidi ya Ikulu ya mji huo ambao kulikuwa na Viongozi pamoja na Maofisa wa Serikali ya FG na Utawala wa Ahmed Madobe.Duru zinaeleza kuwa katika Majengo hayo ya Ikulu ya mji wa Kismaayo ziliangukia Makombora kadhaa yanayoaminika kusababisha hasara kutokana na mashambulio hayo.
Afisa mmoja wa Utawala uliopo mji wa Kismaayo unaoungwa mkono na Kenya amethibitisha kushambuliwa Ikulu ya mji wa Kismaayo lakini amekataa kutaja hasara ya maafa au majeruhi zilizosababishwa na mashambulio hayo.Upande mwingine vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Bay na Bakool jana walifanya mashambulio makubwa dhidi ya Vituo vya Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia kwenye Wilaya ya Tayiglow iliyo chini ya mkoa wa Bakool haijulikana idadi ya Wanajeshi hao wa Kihabeshi waliouawa au kujeruhiwa kufuatia shambulio hilo.


Related Items