Takriban Maaskari 4 wameuawa na idadi nyingine wamejeruhiwa baada ya kulengwa mlipuko wa bomu uliotegwa Ardhini katika mtaa wa Kiwanda cha Maziwa mjini Mugadishu.
Mapema leo Gari mmoja la Abdibille iliyowabeba Maaskari wa Serikali ya FG ililengwa mlipuko wa Bomu la kutegwa Ardhini kwenye eneo la Kiwanda cha Maziwa Wilayani Hodon mjini Mugadishu.
Mashuhuda wanasema Gari iliyolengwa na Mlipuko huo umeteketea vibaya na Maaskari wote waliokuwemo kwenye Gari hilo wamekuwa waliouawa na waliojeruhiwa vibaya.
Baada ya muda mfupi eneo la tukio walifika Maaskari wengine wa usalama ambapo walianza msako katika eneo lililofanyika mlipuko,ilikuwa jana tu ilipofanyika Milipuko iliyowajeruhi Maaskari Wawili nje ya lango la Wizara ya ulinzi mjini Mugadishu.
Maaskari 4 wauawa kwenye mlipuko uliofanyika mji wa Mugadishu.
Takriban Maaskari 4 wameuawa na idadi nyingine wamejeruhiwa baada ya kulengwa mlipuko wa bomu uliotegwa Ardhini katika mtaa wa Kiwanda cha Maziwa mjini Mugadishu.