Mapigano yaliosababisha Wanajeshi wa AMISOM kuacha Silaha yafanyika Mkoa wa L/Shabelle.

Friday September 19, 2014 - 21:59:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2093
  • (Rating 4.7/5 Stars) Total Votes: 3
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Mapigano yaliosababisha Wanajeshi wa AMISOM kuacha Silaha yafanyika Mkoa wa L/Shabelle.

    Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa kulifanyika Mapigano makali jana nyakati ya Adhuhuri wakati ambapo Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab wakiongeza kasi ya Mapigano yao dhidi ya Wavamizi wa Misalaba waliojiita AMISOM.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa kulifanyika Mapigano makali jana nyakati ya Adhuhuri wakati ambapo Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab wakiongeza kasi ya Mapigano yao dhidi ya Wavamizi wa Misalaba waliojiita AMISOM.Jana nyakati ya Adhuhuri kulizuka mapigano makali kwenye makazi ya Hawa Abdi nje kidogo ya mji wa Mugadishu,mapigano hayo yalikuja wakati ambapo Vikosi vya Mujahidina walipofanya mashambulio dhidi ya Vituo vya Wanajeshi wa AMISOM.
Duru ziliarifu kuwa kwenye mapigano hayo Mujahidina walifanikiwa kupata Silaha kutoka kwa Wanajeshi wa AMISOM mmoja ya silaha zilizoyopatikana ilikuwa Bunduki aina ya PKM.Milio ya Risasi na silaha nzito zilikuwa zikisikika eneo la Mapigano ambapo iko nje kidogo na mji wa Mugadishu,ni mara ya pili kufanyika makabiliano ndani ya Wiki hii katika eneo la Elasha Biyaha.

Related Items