Share with your friends via email

Vikosi vya Al-Shabab wadhibiti kwa vita kisiwa cha Kuddaa na Makumi ya Wanamgambo wauawa.

Baada ya mapambano makali yalioanza mapema jana asubuhi hatimae Mujahidina wa Al-Shabab kwa uwezo wa Allah wamefanikiwa kuudhibiti kisiwa cha Kuddaa kilichopo kwenye mkoa wa Lower Jubba kusini mwa Somalia.

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip