Share with your friends via email

Mujahidina wa Al-Shabab washambulia Kambi kubwa ya Halane.

Usiku wa kuamkia jana kambi kubwa ya wanajshi wa kigeni pamoja na ofisi za mashirika za kijasusi ya Halane imeshambuliwa kwa mizinga wakati ambapo hali ya usalama mjini Mugadishu ukiendelea kuwa tete.

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip