Share with your friends via email

Mapigano yaliosababisha hasara yafanyika kwenye miji ya Hudur na Bula Barde.

Habari kutoka mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa jana usiku kuliibuka makabiliano makali ndani ya mji wa Bula Barde ambapo kuna vituo vya wanajeshi maadui wa AMISOM.

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip