Share with your friends via email

PICHA:Al-Shabab yaonyesha picha za Wanamgmbo wa Ahmed Madobe wakichinjwa na wengine kuawa kwa kupigwa Risasi.

Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imeonyesha picha kadhaa inayoelezea namna ilivyofanyika mapigano makali yaliosababisha hsara kubwa ambapo ilifanyika miezi yaliopita katika Wilaya ya Kuddaa mkoani Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia.

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip