Share with your friends via email

Mawaziri na Viongozi wengine wafa kwenye Shambulio la mjini Mugadishu.

Vyanzo muhimu iliyopata SomaliMemo imethibitisha kuwa Waziri wa Uchukuzi wa Utawala wa FG Ali Ahmed Jama Jangali na viongozi wengine mawaziri ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika shambulio la iliyoilenga Hoteli ya Central mjini Mugadishu.

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip