Share with your friends via email

Ndege za Marekani yafanya mashambulio kwa mara ya kwanza dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam.

Wizara ya ulinzi wa Marekani imetangaza kufanya mashambulio ya kwanza dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam nchini Iraq ili kusimamisha mafanikio makubwa wanaoendelea kuupata kwenye mapambano yao.

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip

  Tip